Aina nane za maneno ya Kiswahili

KShs 20.00

-
+

Specs

Category:

Description

Shughuli 1: Makundi ya maneno ya Kiswahili

Maneno ya Kiswahili yanaweza kuanishwa katika makundi nane yafuatayo:

nomino

kielezi

Kiwakilishi

Kihusishi

Kivumishi

Kiunganishi

Kitenzi

Kihisishi

Shughuli 2: Aina nane za maneno katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiingereza

Jedwali lifuatalo linaangazia aina za maneno katika lugha ya Kiswahili, sawa na jinsi makundi hayo yanavyorejelewa katika lugha ya Kiingereza.

Kiswahili (Umoja)

Kiswahili (Wingi)

Kiingereza/English

Nomino

Nomino

Noun

Kiwakilishi

Viwakilishi

Pronoun

Kivumishi

Vivumishi

Adjective

Kitenzi

Vitenzi

Verb

Kielezi

Vielezi

Adverb

Kihusishi

Vihusishi

Preposition

Kiunganishi

Viunganishi

Conjunction

Kihisishi

Vihisishi

Interjection

Shughuli 3: Zoezi

Kariri wimbo ufuatao ili kukusaidia kukumbuka kwa urahisi makundi nane ya aina za maneno.

Aina nane za maneno ya Kiswahili

Noun ni Nomino
Pronoun Kiwakilishi
Adjective Kivumishi
Verb Kitenzi
Adverb Kielezi
Preposition Kihusishi
Conjunction Kiunganishi
Interjection Kihisishi.

Back to Course

Aina nane za maneno ya Kiswahili

0% Complete
0/0 Steps
Quiz 1 of 0

Aina nane za maneno ya Kiswahili

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Aina nane za maneno ya Kiswahili”