Aina za silabi

KShs 20.00

-
+

Specs

Category:

Description

Shughuli 1: Aina za silabi. 

Kuna aina mbili kuu za silabi katika lugha ya Kiswahili, nazo ni:

  1. Silabi wazi
  2. Silabi funge.

Shughuli 2: Silabi wazi

  • Hizi ni silabi ambazo zinaishia kwa irabu. 
  • Silabi hizi zina msikiko wa juu.

a

e

i

o

u

ba

de

fi

go

hu

cha

the

shi

ng’o

nyu

ndwa

nywe

mbwi

ngwa

mbwe

Shughuli 3: Silabi funge

  • Hizi ni silabi ambazo haziishii kwa irabu.
  • Silabi hizi huwa na msikiko hafifu.

Ifuatayo ni mifano ya silabi funge katika maneno:

te-k-no-lo-ji-a

da-k-ta-ri

a-l-ha-mi-si

Ka-b-la

ma-k-ta-ba

m-su-ma-ri

Zoezi

Back to Course

Aina za silabi

0% Complete
0/0 Steps
Quiz 1 of 0

Aina za silabi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Aina za silabi”