Ngeli PA – Ngeli ya Kumi na Sita

Shughuli 1: Ngeli za mahali Ngeli za mahali hutumiwa kuonyesha mahali pa nomino au kitendo.Katika lugha ya Kiswahili, Ngeli za mahali huwezesha uwasilishaji wa mahali…

Ngeli KU – Ngeli ya Kumi na Tano

Shughuli 1: Sifa za Ngeli KU Ngeli KU ni ya nomino zinazoundwa kutokana na vitenzi, kwa kuambatisha kiambishi awali ‘ku-‘ au ‘kw-‘ kwenye shina la…

Ngeli U – Ngeli ya Kumi na Nne

Shughuli 1: Sifa za Ngeli U   Ngeli U ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayoanza kwa silabi ‘u-‘  au ‘w-‘ yaliyo katika hali…

Ngeli U – Ngeli ya Kumi na Moja

Shughuli 1: Sifa za Ngeli U (Ngeli ya Kumi na moja) Ngeli U ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayoanza kwa silabi ‘u-‘  au…

Ngeli ZI – Ngeli ya Kumi

Shughuli 1: Sifa za Ngeli ZI Ngeli ZI ni ya kipekee kwani ipo ili kutimiza jukumu la kisarufi. Dhamira kuu ya Ngeli hii ni kuwezesha…

Ngeli I – Ngeli ya Tisa

Shughuli 1: Sifa za Ngeli I (Ngeli ya Tisa) Ngeli I ni ya majina ya vitu visivyo hai ambayo hayabadiliki yanapowasilishwa katika hali ya umoja…

Ngeli VI – Ngeli ya Nane

Shughuli 1: Sifa za Ngeli VI Ngeli VI ni ya majina ya vitu visivyo hai ambayo:Ngeli VI pia hurejelewa kama Ngeli ya Nane.Nomino zinazopatikana katika…

Ngeli KI – Ngeli ya Saba

Shughuli 1: Sifa za Ngeli KI Ngeli KI ni ya majina ya vitu visivyo hai ambayo:Ngeli KI pia hurejelewa kama Ngeli ya Saba.Nomino zinazopatikana katika…

Ngeli YA – Ngeli ya Sita

Shughuli 1: Sifa za Ngeli YA Ngeli YA ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayobadilika na kuanza kwa silabi ‘ma-‘ au ‘me-‘ yanapowasilishwa katika…

Ngeli LI – Ngeli ya Tano

Shughuli 1: Sifa za Ngeli LI Ngeli LI ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayoanza kwa silabi yoyote ile yanapowasilishwa katika hali ya umoja,na…