Ngeli I – Ngeli ya Nne

Shughuli 1: Sifa za Ngeli I (Ngeli ya Nne)   Ngeli ya Nne ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayobadilikia na kuanza kwa silabi…

Ngeli U – Ngeli ya Tatu

Shughuli 1: Sifa za Ngeli U   Ngeli U ni ya majina ya vitu visivyo hai yanayoanza kwa silabi ‘m-‘yanapowasilishwa katika hali ya umoja, (isipokua…

Ngeli WA – Ngeli ya Pili

Shughuli 1: Sifa za Ngeli A Ngeli WA ni ya majina yanayotaja viumbe hai wanapowasilishwa katika hali ya wingi. Viumbe hai wanaweza kuainishwa katika kategoria…

Ngeli A – Ngeli ya Kwanza

Shughuli 1: Sifa za Ngeli A   Ngeli A ni ya majina yanayotaja viumbe hai, yanapowasilishwa katika hali ya umoja. Viumbe hai wanaweza kuainishwa katika…

Sifa za Ngeli za Kiswahili

Shughuli 1: Sifa za Ngeli Ifuatayo ni baadhi ya sifa za jumla za Ngeli: Mifano: Kutaja Ngeli kwa kutumia nambari Kutaja Ngeli kwa kutumia silabi…

Maana na Asili ya Ngeli za Kiswahili

Shughuli 1: Maana ya nomino Nomino ni neno au jina linalotumika kutaja mtu, mnyama, kitu, wazo, au mahali. Ifuatayo ni mifano ya nomino: Kundi Mifano…